Diamond Platnumz alivyomuita Zari kwenye stage ya White Party, kilichotokea kikamtoa machozi.

author Millard Ayo   3 год. назад
3,388,970 views

9,129 Like   1,948 Dislike

Erick Omondi alivyovunja watu mbavu Zari All White Party

Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na utundu wake wa kuigiza nyimbo za Diamond kwenye video, hizi ni dakika zake alizopewa na Diamond kwenye stage.

Diamond Platnumz - Acha Nikae Kimya [Official Music Video]

New Diamond Platnumz video (Unofficial video]

HARMONIZE Alivyomwaga Machozi Kisa DIAMOND - KUSINIGHT

HARMONIZE Alivyomwaga Machozi Kisa DIAMOND - KUSINIGHT STAA wa Bongo, Nasu Abdul ‘ Diamond Platinumz’ amefanya sapraizi ya aina yake na kuwashangaza mashabiki zake baada ya kuibuka kwenye shoo ya Usiku wa Kusini ‘KusiNight’ iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakiem. Shoo iliyokuwa maalum kwa Harmonize, Diamond alishindwa kujizuia na kutoka huko alikokuwa usiku wa manane kisha kuvamia stage ya Dar Live na kugonga nyimbo mbili ikiwemo mpya aliyoshirikishwa na Harmonize, Kwangwaru huku mashabiki wakishindwa kuelewa Mond kaibukia wapi. Baada ya Diamond kuvamia jukwaa, mashabiki walilipuka kwa shangwe, akaungana na Harmonize huku shoo ikianza upya, mashabiki wakipagwa, na burudani ikanoga kwani hakuna aliyefahamu endapo Mondi angefanya Sapraizi kama hiyo. Mmanyema na Mmakonde wakaliamsha dude, haikua kazi ya kitototo. Ikumbukwe kwamba, Jukwaa la Dar Live ndilo lilianza kuonyesha njia ya mafanikio ya muziki wa Harmonize mwaka 2015 baada ya kupewa nafasi ya na Diamond ya kuimba kwenye jukwaa hilo, ndipo kipaji chake kilionekana na Mond akamchuku. Hivyo usiku wa kuamkia leo ilikuwa ni kumbukumbu muhimu kwa wawili hao kukutana tena jukwaa moja lililowakutanisha siku ya kwanza. Mbali na hivyo, iliuwa siku muhimu kwa kumbukumbu ya kipekee ya Harmonize alivyoanza safari yake ya muziki. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

Diamond Platnumz House in South Africa (part3)

Diamond Platnumz latest song "Hallelujah" ► http://bit.ly/2x02yYg Watch new video ft Ne-Yo "Marry You" : http://www.youtube.com/watch?v=QdOaBt... DOWNLOAD/STREAM “Marry You" : https://DiamondPlatnumz.lnk.to/MarryY... Follow me on twitter: @diamondplatnumz Facebook page: https://www.facebook.com/DiamondPlatn... Follow on G+: https://www.google.com/+TheDiamondpla... Follow on Instagram: http://www.instagram.com/diamondplatnumz this video shot & edited by lukambaoffcial

UKWELI WA DIAMOND PLATNUMZ KUWA FREEMASON (ukweli unatisha)

Usiku wa May 1 2015 ndio ilifanyika Zari All White Party Dar es salaam Tanzania, Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakawa wahusika wakuu na hii ndio ilikua mara ya kwanza Zari anasimama na kuongea mbele ya umati wa Watanzania, hakuamini kilichotokea mpaka akatoa machozi.

Comments for video: