EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don

author Millard Ayo   1 год. назад
830,427 views

3,683 Like   571 Dislike

Zari ahojiwa BBC, amuanika vibaya Diamond Platnumz

HUYU NDIYE MILLARD AYO, HISTORIA YAKE INATIA MOYO SANA

Millard Ayo ni Mtangazaji na Mwandishi wa habari kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani na nje ya Tanzania kila siku kupitia TWITTER, FACEBOOK, INSTAGRAM YOUTUBE (@millardayo) na kwenye millardayo.com

Gigy Money amtolea uvivu Harmorapa

pia azungumzia ujio wa Nyimbo yake mpya aliyo wachana wanaume zake wote aliopita nao.

Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan

Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye alikuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye amezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 huku akiacha simanzi nyuma yake…mmoja wa watu waliohuzunishwa na kifo hicho ni mzee Hassan baba yake Zari ambaye alimuelezea Ivan.

SABABU YA ZARI KUZAA MFULULIZO NA DIAMOND KACHANGIA

Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wa mwimbaji staa wa Diamond Platnumz amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com Kampala Uganda na kueleza mengi kuhusu msiba wa Mpenzi wake wa zamani aitwae Ivan.

Comments for video: