VIDEO~YOTE 40 YA NILLAN MTOTO WA DIAMOND NA ZARI

author Northern E   2 год. назад
1,917 views

5 Like   0 Dislike

Diamond Platnumz na Zari wakicheza na mtoto wao Nillan kwenye 40

40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari aitwae Nillan ilikua jana February 11 2017 nyumbani kwao Madale Dar es salaam ambapo mastaa mbalimbali wa bongo walihudhuria na kutumbuiza.

Mtangazaji wa Times Fm 'DIDA' akimtunza Zari kwenye 40 ya Nillan

Mtangazaji wa Times Fm 'DIDA' akimtunza Zari kwenye 40 ya Nillan

Zari na Diamond wakimtunza mama yao (sandra)

Zari na Diamond wakimtunza mama yao (sandra)

Casto dickson makavu mazishi ya mtoto Patrick, Muna love asema mazito juu ya kifo cha mwanae patrick

SABABU YA ZARI KUZAA MFULULIZO NA DIAMOND KACHANGIA

Comments for video: