Ben Pol na Diamond Platnumz wakitumbuiza Lala Salama

author Dizzim Online   2 год. назад
103,224 views

604 Like   47 Dislike

Ben Pol alipompandisha Saida Karoli na Kuimba SALOME kwenye Jukwaa la Love Melodies and Lights

Usiku wa kuamkia Februari 19 ulikuwa ni usiku wa burudani mwanzo mwisho… shoo ya #LoveMelodiesAndLightsEvent imefanyika kwenye Uwanja wa Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo wasanii wakali watatu Juma Jux, Ben Pol na Barakah The Prince walikuwa wakikamua kwenye show hiyo. Hapa kwenye hii video a dakika 9 nakukutanisha na legendary kutoka Bongo Flevani Saida Karoli ambaye kwa mara ya kwanza ndani ya miaka isiyopungua 10 alipanda jukwani na mkali wa melody za R&B Ben Pol na kutumbwiza LIVE on stage na kuimba nae wimbo wa SALOME. Kilichofuata baada ya hapo ni shangwe na kelele za furaha kutoka kwa mashabiki wa Saida Karoli ambao hisia zao zilidhirisha wazi kuwa mkongwe huyo ameacha gepu kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva ambao, muziki wenye ladha ya kipekee na muziki unaoweza kuimbwa na yeye tuu. Itazame jinsi performance yake ilivyokuwa kwenye usiku wa LOVE MELODIES and LIGHTS.

DIAMOND, MOHOMBI & LUMINO Live Performance AFCON 2017

Get much more of DIAMOND PLATNUMZ: https://www.youtube.com/watch?v=kFm_Lr8m2Ys

Jason Derulo, Rayvanny, Dela and Bebe Cool: Push Up On It - Coke Studio Africa

This week’s Global Fusion episode features Urban pop mega-star Jason Derulo -one of the world’s most successful songwriters and recording artists, who has sold over 50 million singles worldwide and racked up 11 platinum singles so far, with many more to come. He’s here at Coke Studio Africa to share his genius as well as learn from the unique experience of working with some of Africa’s hottest artists. Jason Derulo teams up with Kenya’s Dela, Uganda’s Bebe Coo and Tanzania’s Rayvanny to conceptualize an awesome original Coke Studio Africa hit. Where Music Meets #CokeStudioAfrica #CokeStudioZA

diamond Platnumz - Alivyoshtukiza kwenye Harusi ya Professorjay

Ben Pol na Diamond Platnumz wakitumbuiza Lala Salama

Comments for video: