Birthday party ya Sallam Meneja wa Diamond Platnumz

author Millard Ayo   2 год. назад
300,979 views

1,476 Like   166 Dislike

RED CARPET: Wabongo walivyovyaa kizamani party ya Sallam

Meneja wa WCB Sallam amesherehekea birthday yake Dar es salaam kwa kuangusha party ambayo ili uruhusiwe kuingia lazima uwe umevaa nguo ambazo ndio zilikua zinatamba kwenye fashion ya miaka ya 90.

diamond Platnumz - Alivyoshtukiza kwenye Harusi ya Professorjay

ZILIPENDWA BEHIND THE SCENE (PART 1)

Send 'Skiza 8540075' to 811 (Safaricom). The Song features all WCB WASAFI Artists including Diamond Platnumz , Rayvanny , Harmonize , Mbosso ,Lavalava , Queen Darleen and Rich Mavoko.

Wema Sepetu alichoongea Red Carpet ya party ya Sallam SK

Mwigizaji ambaye ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ni miongoni mwa waliohudhuria party ya Meneja wa WCB Sallam SK ambayo ilikua inaruhusu watu waliovalia nguo za miaka ya 90 tu.

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOMKABIDHI GARI MUUZA MITUMBA ALIYESHINDA DIAMOND KARANGA

Ilikua siku ya kuzaliwa kwa Meneja Sallam SK ambaye ni meneja wa mwimbaji Diamond Platnumz, party ilifanyika usiku wa May 11 2016 Element Dar es salaam.

Comments for video: