Mastaa Walivyojiachia na Kucheza Kwenye Birthday ya Diamond Platnumz

author TimesFMTZ   10 мес. назад
220,290 views

889 Like   111 Dislike

DIAMOND PLATNUMZ BIRTHDAY PARTY 2017

Staa wa bongo fleva Diamond Platnumz jana October 2, 2017 alifanya party ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ambayo aliwaalika watu wake wa karibu wakiwemo mastaa mbalimbali, familia, ndugu, jamaa na marafiki.

Staili ya kucheza zilipendwa ya wcb yawa gumzo kwa wakenya

BROTHER K ALIVOMKIMBIZA SHARO BARO WA KIHAYA KATIKA MASHINDANO HAYA

#BrotherKFutuhi#SharobaroWaKihaya#Comedy

diamond Platnumz - Alivyoshtukiza kwenye Harusi ya Professorjay

Watanzania wanaofanana na Jay Z na Rais Magufuli

Ni tamasha ambalo huwa linafanyika kila mwishoni mwa mwaka na kukutanisha Wanafunzi mbalimbali na mastaa wa muziki kotoka Tanzania na kufanya mashindano mbalimbali, hapa ilikua shindano la waliojitokeza wakiamini wanafanana na watu flani maarufu

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa

100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.

Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#

Comments for video: