Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan

author Millard Ayo   1 год. назад
266,022 views

711 Like   105 Dislike

EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don

Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wa mwimbaji staa wa Diamond Platnumz amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com Kampala Uganda na kueleza mengi kuhusu msiba wa Mpenzi wake wa zamani aitwae Ivan.

SABABU YA ZARI KUZAA MFULULIZO NA DIAMOND KACHANGIA

Historia fupi ya Marehemu AKWILINA ikisomwa

Leo February 22, 2018 katika Chuo cha NIT umeagwa Mwili wa Akwilini Akwilini Bafta Shirima ambaye alipigwa risasi akiwa katika daladala na risasi inayosemekana amepigwa na Polisi wakati wakitawanya waandamanaji wa CHADEMA February 16, 2018. Hii ni histora fupi ya Marehemu Akwilina iliyosomwa wakati wa shughuli hiyo ya kuaga mwili

Diamond alivyowasili Airport kumpokea Rayvanny kutoka BET

Baba alieshtakiwa Polisi na Mwanae azungumzia kifo cha Mama Anthony, watoto 20

Petro Magokwa ni mzee wa miaka 73, ambaye ndio Baba mzazi wa mtoto Anthony Petro kijana aliyeonekana kwenye mitandao ya kijamii akizungumza kumshtaki mzee wake kituo cha Polisi baada ya kusikia anapanga kuuza shamba la nyumbani kwako.

Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye alikuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye amezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 huku akiacha simanzi nyuma yake…mmoja wa watu waliohuzunishwa na kifo hicho ni mzee Hassan baba yake Zari ambaye alimuelezea Ivan.

Comments for video: