Birthday Party ya Romy Jons, Team nzima ya WCB ndani

author Millard Ayo   12 мес. назад
230,314 views

1,442 Like   221 Dislike

Romy Jons apokea mamilioni ya pesa kama zawadi kutoka kwa wasanii wa WCB na Watu wake wa Karibu

EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete "nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja"

Kama ulikua miongoni mwa wanaotamani kumsikia au kufahamu shughuli anazofanya kwa sana Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, taarifa ikufikie kwamba AyoTV imemtembelea Msoga na akatuonyesha anachofanya.

HATIMAE!! Wolper afunguka kuachana na Harmonize, Sarah kaongelewa

Toka zisikike habari za kuchana kwa Mastaa wawili wa Bongo, Mwigizaji Jackline Wolper na Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize, Wolper hakusikika wala kuongelea hii ishu mwanzo mwisho. Na hata Harmonize alisikika akithibitisha tu kuachana kwao lakini hakumwaga povu kama hili alilomwaga Wolper kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO..... hii video ina kila kitu, usisahau ku-install APP ya 'millardayo' kwenye ANDROID ili upate notification ya kila STORI MPYA!!!!

Party ya kumkaribisha Rich Mavoko WCB

WCB walifanya party nyumani kwa Diamond Platnumz kea jail ya kumkaribisha msanii msanii mpya kwenye lebel hiyo ambae ni Rich Mavoko na pia kumkaribisha mke wa kaka yao Ricardo Momo

Nchi ya Africa inapatikana wapi kwenye ramani. VOXPOP s01e08

HOST : Bob cat videographer : Allen Mpuya

August 18, 2017 ilikuwa ni Birthday Party ya ndugu wa Diamond Platnumz ambaye pia ni Official Dj, Romy Jons ambapo mastaa wengi kutoka BongoMovie na BongoFlevani walialika sanjari na team nzima ya WCB.

Comments for video: