Ben Pol alipompandisha Saida Karoli na Kuimba SALOME kwenye Jukwaa la Love Melodies and Lights

author Global TV Online   2 год. назад
590,254 views

2,248 Like   346 Dislike

Ebitoke kaganda kwa Ben Pol sio mchezo, mkono kwa mkono red carpet

Usiku wa July 6 2016 muimbaji mkongwe Saida Karoli anafanya show yake ya kihistoria katika maisha yake ya muziki ya kusherehekea kutimiza miaka 15 ya Saida Karoli toka alipoingia katika muziki, miongoni mwa mastaa waliohudhuria show hiyo ni muimbaji Benpol ambaye aliambatana na mchekeshaji Ebitoke, AyoTV ikawanasa kwenye red carpert.

Sebene la Saida Karoli Lapagawisha Mashabiki

Published on Jul 7, 2017 SUBSCRIBE NOW https://www.youtube.com/user/uwazi1 Mwanamama Saida Karoli aliyerudi kwa kasi katika tasnia ya muziki wa asili,hatimae Jana julai, 6, 2017 alisheherekea miaka 15 yake katika muziki na hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Escape One Mikocheni , aliangusha burudani ya nguvu iliyopelekea mashabiki kupagawa. Na kelele za shangwe zilizidi baada ya kuimba wimbo wake aliouachia hivi karibuni baada ya kurudi kwenye gemu unaoitwa Orugambo, ambapo alifafanua maana ya neno hilo kuwa ni Majungu au umbea. Saida ambaye alipanda jukwaani na madansa wake, alizidi kuwavutia watu waliofika ukumbuni hapo baada ya kuonyesha uwezo wake wa kuimba na kupiga ngoma. SUBSCRIBE NOW https://www.youtube.com/user/uwaz Global TV imekuletea habari kamili, itazame video hii mpaka mwisho kujionea mwenyewe. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1

diamond Platnumz - Alivyoshtukiza kwenye Harusi ya Professorjay

BABU SEYA, PAPII KOCHA WAWATOA WATU MACHOZI

MASKINI! Wakati wakitimiza miaka 10 gerezani tangu walipohukumiwa Juni 25, 2004, mwanamuziki nguli wa dansi Bongo, Nguza Viking 'Babu Seya' na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' wametoa watu machozi kwa mara nyingine.

BROTHER K ALIVOMKIMBIZA SHARO BARO WA KIHAYA KATIKA MASHINDANO HAYA

#BrotherKFutuhi#SharobaroWaKihaya#Comedy

Usiku wa kuamkia Februari 19 ulikuwa ni usiku wa burudani mwanzo mwisho… shoo ya #LoveMelodiesAndLightsEvent imefanyika kwenye Uwanja wa Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo wasanii wakali watatu Juma Jux, Ben Pol na Barakah The Prince walikuwa wakikamua kwenye show hiyo.

Hapa kwenye hii video a dakika 9 nakukutanisha na legendary kutoka Bongo Flevani Saida Karoli ambaye kwa mara ya kwanza ndani ya miaka isiyopungua 10 alipanda jukwani na mkali wa melody za R&B Ben Pol na kutumbwiza LIVE on stage na kuimba nae wimbo wa SALOME.

Kilichofuata baada ya hapo ni shangwe na kelele za furaha kutoka kwa mashabiki wa Saida Karoli ambao hisia zao zilidhirisha wazi kuwa mkongwe huyo ameacha gepu kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva ambao, muziki wenye ladha ya kipekee na muziki unaoweza kuimbwa na yeye tuu.

Itazame jinsi performance yake ilivyokuwa kwenye usiku wa LOVE MELODIES and LIGHTS.

Comments for video: